
Mkuu wa kamati ya michezo ya Olimpiki nchini Kenya afahamisha kuwa wanariadha wanaweza kutoshishiriki katika Rio Olimpics za mwaka 2016.
Tangazo hilo lilitolewa siku ya Jumanne kutokana na kuwa na wasiwasi kuhusu kuzuka kwa virusi vya Zika Brazil.
Kipchoge Keino aliambia shirika la habari la Reuters kuwa hawatohatarisha hali ya afya ya wanariadha wa Kenya.