Ratiba ya raundi ya nne ya Azam Sports Federation Cup imetolewa leo na ni kama ifuatavyo:
Februari 26, 2016
Ndanda fc vs Jkt Ruvu
Coastal Union vs Mtibwa Sugar
Februari 27, 2016
Mwadui fc vs Rhino Rangers
Prisons vs Mbeya City/Wenda FC
Februari 28, 2016
Simba sc vs Singida United
Panone fc vs Azam fc
Machi 1, 2016
Young Africans vs Jkt Mlale