Our Feeds

Monday, 11 April 2016

Unknown

MKATABA WA NEYMAR NA BARCELONA NI KUFURU


Na Amini Nyaungo

Tumezoea kuona mitihani ya Taifa ya kidato cha pili,cha nne na cha sita kuvuja(Leak) lakini hii sasa imeingia katika mchezo wa mpira,Mchezaji namba Tatu kwa ubora duniani kwa mjibu wa Balon D'or Neymar Jr mkataba wake umevuja kwa mara nyingine ambapo amesajili mkataba wa miaka 5 mwaka 2013 .

ILIKUAJE
Gazeti la Daily Mirror la Uingereza limeandika kuwa mkataba wa Neymar haukuendeshwa kwa njia iliyo sahihi kutoka Santos.Barcelona ilipitia njia za panya na kesi ili rindima katika vyombo husika.

ANGALIA KILICHOVUJA
1.Neymar anapokea Euro milioni 8.5m kama ofa ya usajili pia anapokea Euro milioni 1 kila msimu hii inatokana na jitihada zake kama akijituma kwa 60%

2. Euro 632,500 kila inapo kata tiketi ya kuingia Uefa Champion League.

3. Euro laki 425 Kama Barcelona ikipita hatua ya makundi

4.Barcelona ikichukua La liga Euro 637,500 
5. Euro 850,000 ikishinda Uefa League
6.Euro 850,000 pia anazoa kiasi hiki hiki kama Copa De Rey
7.Atapokea 'Bonus'  kama wakichukua makombe yote matatu.

Mchezaji huyu atapokea jumla ya Euro milioni190 kipindi chote cha mkataba wake.

Subscribe to Mtembezi Sports via Email :
Previous
Next Post »