Na Amini Nyaungo
Wakati Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania akifanya vizuri zaidi kwa kutoa wale ambao hawafanyi vizuri ili kuendana na kasi yake anayo itaka huku akimiminiwa sifa njema kutoka kwa wana nchi wake hii tofauti na mchezaji wa Paris St Germain Zlatan Ibrahimovic ametoa mpya.
KASEMAJE?
"Mimi ni Bora Haijawahi kutokea katika Dunia Nimezaliwa Mzee nitakufa Kijana" maneno ya Ibrahimovic ,Mara nyingi Mchezaji huyu hakosi vituko haswa anapo karibia mechi kubwa na hata akiongea na Waandishi wa Habari, Mchezaji huyu amaye anafukuziwa na Manchester United ili atoe huduma msimu ujao Old Trafford.
KWANINI AMESEMA HIVI?
Wadau wa soka wana mkosoa kuwa umri wake mkubwa hastahili kuchezea Manchester United ana miaka 34 lakini bado mchezaji huyu anafanya vizuri
HISTORIA
Katika timu zote alizowahi kupitia Ibrahimovic amechukua ubingwa wa ligi husika.