Our Feeds

Monday, 11 April 2016

Unknown

SIMBA BYE BYE, COASTAL WALEEE NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO.


Na Amini Nyaungo

Huenda kauli ya Jerry Muro ya kusema kuwa Simba haiwezi kuchukua chochote msimu huu huenda ikatimia mara baada ya kutolewa hatua ya Robo fainali ya kombe la shirikisho la soka linalo dhaminiwa na Azam,Yousouf Sabo apeleka kilio Msimbazi.

Dakika ya 20 Sabo ameweka Goli la kwanza kabla ya Hamisi Kiiza kurejesha matumaini dakika ya 52 lakini goli hilo halikudumu dakika ya 85 Sebo akamaliza kazi kwa kuwavusha hatua ya Nusu fainali ya michuano hiyo kwa bao safi.

KIPI KILICHO BAKI SIMBA
Kwa sasa nafasi ya kushiriki kimataifa kwa Simba imebakia moja tu wafanye jitihada washinde Vpl ili nao mwakani wapande ndege watoke katika dharau ya kuitwa wa mchangani.

Subscribe to Mtembezi Sports via Email :
Previous
Next Post »