Our Feeds

Monday, 11 April 2016

Unknown

ALICHOSEMA BOSS WA BARCELONA BAADA YA VIPIGO MFULULIZO


Na Amini Nyaungo

Kwa sasa kuandika habari ya Barcelona kufungwa ndio imekuwa gunzo duniani hiki ni kipimo cha timu bora hali kadhalika Moja ya uhodari wa kocha bora na kiwango cha kujua uweledi wa  Taaluma yake jaribu kusikiliza kauli zake kila siku utagundua kocha bora ni yupi maneno ya Luis Enrique  yana ashiria kuwa Taaluma yake anaitendea haki 

Amewaasa wanaoibeza Barcelona kuelekea kuchukua ubingwa wa La liga Mara baada ya Real Madrid kutia mchanga kitumbua chake 2 mwezi huu pale Camp Nou,

AMESEMAJE
"Kufungwa na moja ya matokeo katika mpira sio rahisi kukaa muda wote kuwafunga wote hii ni moja ya changamoto ambazo nitazifanyia kazi ni kweli mchezo huu(Real Sociedad) timu yangu imecheza vibaya sikatai na ndio maana wakapata ushindi ni moja ya matokeo lakini sio swala la kuitoa Barcelona katika ubingwa kwa kupoteza mechi mbili " maneno ya Enrique 

MWENENDO WA BARCELONA
Timu hii kwa sasa ndio iliyobaki katika kuleta vitu viwili uwanjani magoli pia mpira wa burudani timu iliyo kuwa inaiga hivyo ni Arsenal japo nao msimu huu wamebadilika kulingana na timu zinavyocheza, Kwa uhalisia Barcelona ameweka rehani ubingwa haswa ukiangalia na mechi zilizo baki lakini pia hata kwa timu zinazo mfuatia lolote linaweza kutokea baada ya mechi tatu tutaangalia nini kinaendelea.

Subscribe to Mtembezi Sports via Email :
Previous
Next Post »