Our Feeds

Friday, 8 April 2016

Unknown

NI KWELI REKODI YA YANGA KIMATAIFA HAIWAPI NAFASI YA KUWATOA AL AHLY?


Na Amini&Albogast

Dar es salaam Young Afrika ni miongoni mwa timu kongwe barani Afrika na ndio timu iliyochukua vikombe vya ligi kuu ya Tanzania mara nyingi ikiwa imechukua mara 25 lakini kwenye michuano ya kimataifa haina rekodi nzuri Baada ya kutupwa nje ya michuano ya klabu bingwa Afrika katika miaka tofauti iliyoshiriki pasipo kufika hatua za mbali. 

Kuelekea mchezo wake na Al Ahly tunakukumbusha mambo mbalimbali ya timu ya Yanga kwenye michuano ya kimataifa.

2008 - kombe la shirikisho
Libya: Al Akhdar 1-1 Yanga
Dar: Yanga 0-1 Al Akhdar     ,        
2009-Ligi ya Mabingwa
Tunisia: Esperance 3-0 Yanga
Dar: Yanga 0-1 Esperance

2011- Ligi ya Mabingwa
Cairo: Al Ahly 3-0 Yanga
Dar: Yanga 0-1 Al Ahly

2012-kombe la shirikisho
Dar: Yanga 1-1 Zamalek
Misri: Zamalek 1-0 Yanga

2014-  Ligi ya Mabingwa 
Dar: Yanga 1-0 Al Ahly
Cairo: Al Ahly 1-0 Yanga
Yanga ilitolewa kwa mikwaju ya Penati (6-5)

2015- Kombe la shirikisho
Dar: Yanga 1-1 Sahel
Tunisia: Sahel 1-0 Yanga

Ni baadhi tu ya mechi za Yanga dhidi ya timu zinazotoka nchi za kiarabu ambapo imekuwa ni vigumu kushinda hivyo tusubiri mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly.

Subscribe to Mtembezi Sports via Email :
Previous
Next Post »