Our Feeds

Friday, 1 April 2016

Unknown

UHONDO WA LIGI MBALIMBALI DUNIANI UMERUDI PATA RATIBA HAPA


Na Amini Nyaungo

Baada ya ligi karibu zote duniani kusimama kupisha michezo ya kimataifa ya kirafiki pamoja na ile ya kufuzu michunao mbalimbali kama kombe la dunia, kopa Amerika na Afcon mashabiki wengi duniani huwa wanakosa uhondo na mara nyingi wapenda soka huona wikiendi imekuwa ndefu sana lakini sasa ligi zimerudi na raha hiyo iapatikana kesho.

Hapo chini kuna ratiba ya ligi ya England pamoja na mchezo utakaobeba hisi za mashabiki duniani kati ya Barcelona na Real Madrid.

England viwanja 8 vitawaka moto lakini habari kubwa ni Manchester City kuwa na majeruhi karibu nusu y kikosi cha kwanza kama Yaya Toure,Joe Hart,Fabian Delph, Rahim Sterring na Nahodha Vicent Kompany.

Chelsea vs Aston vila 14:45
Arsenal vs Watford 17:00
Liverpool vs Tottenham Spurs 19:30
Manchester city vs Fc Bournemouth
Norwich vs  Newcastle United
Stoke city vs Swansea City
Sunderland vs westbromwich
Westham United vs Crystal palace

Jumapili kutakuwa na mechi mbili

Southampton vs Leicester City
Manchester united vs Everton

Subscribe to Mtembezi Sports via Email :
Previous
Next Post »